Niliokota hirizi barabara...

Niliokota hirizi barabara...

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
nikaichukua nikaweka mfukoniiii
ILI nikifika nyumbani niifungue niangalie
ndani kunaninii
SASAA nime iweka MFUKONII nashangaa kila
MTU ananiitaaa OYA vipi yani si
WADADA.WAKAKA,WA BABA,WA MAMA,kila
mtu hata mimi siwajui wengine eti wana NIPA
HELA KUA NILIKUA NAWADAI sasa mimi selewi
KUNA MZEE NILIMKOPA laki 3 AKAWA KIILA
SIKU ANAKUJA HOME KUNISUMBUA mara
achukue redio feni
SASA NASHANGAA ILE SIKU KANIONA KANIITAA
AKANIPA VTU VYANGU leo NIME MWAMBIA
ANIKOPE LAKI 3 TENAAA kanipaaaa
SASA SIJUI ni hii HIRIZI NILIO OKOTAA
aaaaah ngoja niitupe au Nikaombe mkopo Bank?

Naomba ushauri wako
 

Attachments

  • 1404035904023.jpg
    1404035904023.jpg
    55.7 KB · Views: 626
Kama uliiokotea Dodoma au maeneo wanayopita wakubwa itakuwa ya yule mheshimiwa ambaye umaarufu wake umechuja kwa ghafla baada ya kuipoteza hii kitu, gombea ubunge, ila unatakiwa uivae kiunoni.

Mkuu fanya mpango uwe unaikodisha, maana mwezi wa saba ndo muda wa fazahousi alafu mpango haujakaa sawa.
 
Inawezekana kabisa mkuu lakini kitakachotokea ni baadae kumlipa huyo
anayesababisha hayo yote yatokee, na huna ujanja kwa kuwa ushaanza kula
lazima utamlipa na hakuna lingine zaidi ya damu yako.

Yaani hiyo kama utaitumia muda mrefu kabla ya kifo chako ni miaka mitano
tu haizidi hapo na inaonesha kuwa aliyekuwa anaitumia tayari kishaondoka
hivyo ndugu waliamua kuibwaga hapo ulipoiokotea ili hili balaa lihame upande wao.
 
Kifo kinakuita wewe.....nenda nyunyizia chumvi ichome haraka kabla mambo yako hayajaanza kuharibika.
 
Kama uliiokotea Dodoma au maeneo wanayopita wakubwa itakuwa ya yule mheshimiwa ambaye umaarufu wake umechuja kwa ghafla baada ya kuipoteza hii kitu, gombea ubunge, ila unatakiwa uivae kiunoni.

Mkuu fanya mpango uwe unaikodisha, maana mwezi wa saba ndo muda wa fazahousi alafu mpango haujakaa sawa.

Muheshmiwa gan
 
Inawezekana kabisa mkuu lakini kitakachotokea ni baadae kumlipa huyo
anayesababisha hayo yote yatokee, na huna ujanja kwa kuwa ushaanza kula
lazima utamlipa na hakuna lingine zaidi ya damu yako.

Yaani hiyo kama utaitumia muda mrefu kabla ya kifo chako ni miaka mitano
tu haizidi hapo na inaonesha kuwa aliyekuwa anaitumia tayari kishaondoka
hivyo ndugu waliamua kuibwaga hapo ulipoiokotea ili hili balaa lihame upande wao.

Usintishe jamaangu:thumbup:😱
 
Back
Top Bottom