Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Wana MMU habari ya asubuhi,
nilishtuka saa tisa usiku usingizi ukakata!
Safi aisee habari yako.
nilishtuka saa tisa usiku usingizi ukakata!
Am happy kujua upo fny
Pole sana
Pole sana best
Nimemtuma wifio Khantwe aje home akuandalie chakula na kukufariji
Sijui nijibuje maana Argentina wamefungwa.
Asante sana mamito maana hata hamu yakula imeisha kabisaaa
tuko salama ndugu vip kwako
Mie mzima kidogo si unajua nina maumivu ya kipigo cha jana!