hawa wanaboa

hawa wanaboa

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Huwa wanaboa Sana, unakuta mtu anakwenda bar halafu ananunua maji tu au soda moja halafu anakaa siku nzima kuangalia tv, seriously watu wanalipa bili ya umeme wewe unakaa na kasoda kamoja the whole day..seriously?? Please stay at home if you can't pay the bills.
 
Huko nyumbani kwenyewe si mpaka awe na king'amuzi?

Maisha magumu kaka
 
Kibongo bongo hali mbaya, ila wanakua wakali Sana ukiuliza inakuwaje
 
Kwa hiyo nisipokaa hapo wataacha kulipia hiyo bili?
 
Khantwe don't you want all the luxurious accessories? Zitatoka wapi?
 
Huwa wanaboa Sana, unakuta mtu anakwenda bar halafu ananunua maji tu au soda moja halafu anakaa siku nzima kuangalia tv, seriously watu wanalipa bili ya umeme wewe unakaa na kasoda kamoja the whole day..seriously?? Please stay at home if you can't pay the bills.

Wewe ni M/me au M/ke?
 
I should ask the same, mkuu Snap J
 
Back
Top Bottom