Nitakua Nzega kwa wiki mbili

Nitakua Nzega kwa wiki mbili

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,067
habari wakuu?nitakuwepo hapa mjini kwenu kwa wiki mbili.
wana jf wa hapa tutafutane!
 
nipo nzega town kaka
 
Alas..nimetoka hapo jana baada ya kukaa hapo 2 weeks,watakukaribisha members huko
 
duuu nimepita leo hapo na kimotco ndio naingia iringa sio muda
 
Nimepita hapo kwenda Mtwara na basi la Machinga.wasalimie Nyasa ,Majengo na Wa Tbr road
 
ndo nafika nzega sa hv , niko na pulling naelekea kahama, nicheki hapa kwa msomali, sa sita nanyoosha goti
 
nipo hapa kasoni mpya.nasindikiza wknd
 
Back
Top Bottom