JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heloooooo! Ni matumaini yangu kwamba mu wazima wa AFYA TELE!'BASI NIWAPONGEZE KWA hilo japo najua changamoto zipo nyingi lakini yote maisha tu! Sasa wandugu naombeni tufanye kitu kimoja hapa ni...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiangalia live show mbalimbali za wasanii wa muziki na hata fani nyingine za usanii na kujiuliza maswali mengi sana juu ya hawa wanawake. Siku zote wacheza show wa kike wamekuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu salaam! Kwa yeyote ambaye ana uhakika na AFYA YAKE KWA ASILIMIA 100 HANA BUDI YA KUMSHUKURU MUNGU. JE WEWE UNAMSHUKURU MUNGU AU HAUNA UHAKIKA NA HIYO AFYA YAKO?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ladies and Gentlemen, nawaletea discussion nyingine tena. Usiku wa leo nipo na Jawilat, kama topic inavyojieleza We are talking about Power of Love...
2 Reactions
126 Replies
8K Views
wakuu kuna mchezo ambao upo kule jokes wa wamwisho ndo mshindi ningependa nitumie wazo lile kuanzisha huu mchezo utakao kuwa na nia ya kusifia na kujua uzuri na thamani ya mwanamke basi sasa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Gundu na mikosi si rehema za Mungu hizi ni husuda na kijicho kwa watu wenye roho za kishetani kutumia uchawi kuharibu mustakabali wa maisha ya wenzao. Amini usiamini kuna wanawake huwa wanatafuta...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana CC Hope Mko Poa!! NI HAYA HAPA: 1.MPE HELA 2.MPE HELA 3.MPE HELA 4.NASEMA MPE HELA 5.NIMEKWAMBIA MPE HELA.
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Shikamooni watoto naomba muwaambie wazazi wenu wanipigie kura mwenzenu hamnioni navyotia huruma jamani? msinifanyie hivo.. iiiinhiii hiiiiiihiii koh koh!!..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wasalaaaam wakuu,,,, Nna mda kidgo since the last time niingie jf lakin naomba niwatoe wasiwasi wote ambao wamedhan nimekufa au nimepotea dunian,,,,mm nipo natafuta maisha kwa spidi kidgo maana...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Wakaamua kuficha identity zao wakiwa matembezini mtaani. David Luiz akavaa nguo kama sister wa kanisa katoliki kisha akaingia mtaani. Mara akakutana uso kwa uso na bibi kizee...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penzi motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very...
0 Reactions
109 Replies
13K Views
Daah!! Arovera mme wangu jitahidi basi hata ununue ka~vits mkeo napata shida hapa ila mmmh, yaani hapa nimepanda daladala ya gongo la mboto leo kuna sehemu watu wanaamsha popo nilikerwa kazini...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kule mjengoni kuna vichekesho, movies na vijembe kibao. Tusaidiane kuorodhesha hata vile vya bunge la katiba. 1. Tumbili vs Mwizi. Washiriki Kafulila na Werema 2. Zanzibar ukisimama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#‎BRAZUKA‬ Wiki moja ina siku 7, Shule ya msingi madarasa 7, Huu ni mwezi wa 7, Tupo msim wa sabasaba Brazil wamefungwa 7 Game imeisha saa 7 Mathayo 7:1 Inasema "na iwe hivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
rejao muda mref ckuon jamvini upo?km upo ni pm!kamjomba kako kameshakuwa,kanatafta wajomba zake!haha maana kamekumic
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Hivi huyu kongosho mwanaume au mwanamke? mana simuelewielewi some time namfikiria kama mdada na namtamani nipate nae kamda hivi ili kama ikiwezekana na akikubali nikale nae GUDTYM. Na ninapowaza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Nilipita maeneo ya Ujiji karibu na barabara ya pale Livingstone. Mkono wa kushoto ka unaelekea ziwani kuna miti mingi ya michikichi wao wanaiita migazi. Ujiji ni eneo linalokaliwa na ndg...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Najua ulisoma shule za ufagio na kidumu cha maji, Utakuwa si mgeni wa; -Pamela na kipini, -Siku ya gulio, -Watoto wageuka mawe, -Mkutano wa wanyama, -Nani atamfunga paka kengele, -Muwa...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
wapi iyo,njoo wazee binafsi kuna jina fulan kwa kabila la kiha uwaga nacheka linaitwa kaviyinabhuhiye(anacheza akiona msosi umeiva),wewe ni lipi? tupia apo!!
0 Reactions
104 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…