Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Habari,
Nilipita maeneo ya Ujiji karibu na barabara ya pale Livingstone. Mkono wa kushoto ka unaelekea ziwani kuna miti mingi ya michikichi wao wanaiita migazi.
Ujiji ni eneo linalokaliwa na ndg zetu wengi wa dini ya waarabu.
Mji huu hauendelei, uko static sana na kuna majumba ya tangu enzi za utawala wa mwarabu. Tabia za ufuska ni kubwa sana (siku moja nilishuhudia watu wanagegedana ufukweni na watu wanapita kando as ni kibarabara kikubwa, mie nilikuwa naogelea. Kuna wengine niliwahi kuwaona wakigegedana majini live).
Basi rafiki angu mmoja mchepukaji mzoefu alikapenda kabembe kamoja akaamua kukavamia ili apate huduma ya chap chap! Dada wa watu akamjibu, "nisamehe tu baby, nisubirie mpaka nimalize mfungo mtukufu kisha utajipimia utakavyo, ni bonge la utamu, we utaona"
Jamaa alikomaa mno as alivutiwa na hako ka mchepuko haswaa....
Wadau, dhambi huwa haipigishwi break ila inaachwa!
Wasalaam!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums