Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
rejao muda mref ckuon jamvini upo?km upo ni pm!kamjomba kako kameshakuwa,kanatafta wajomba zake!haha maana kamekumic
Harufu ya fumanizi hii hapa.
Hii Kali ya kuanza wiki....
Akiona tangazo atakuja mvumilie na hizi mvua za masika huenda kapata hifadhi sehemu
wapi alipo cantalisia, mmeo umegawa?
flora msoffe ulienda wapi?
kuna kitu si bure
thubutuu lazma waingie wanajua jf inawapa makav live/kuwanyoosha labda unambie kabadil id ikawa ya ke..
anachungulia kwa mbaaali

hahaha hafumaniwi mtu hapa!
naanza come pain na sie iwe kama kenya,tuolewe wake hata sita wanaume wenyewe wachache sa sie tufanyaje!lazma tusaidiane ati,,
jaman arudi tu.hapa huku kuna hifadhi!
au yupo kwenye mihadhara ya ukawa?ngoja nimchek boss mbowe anitonye
nipo na jf lazma nisome daily.maranying nasoma tu mambo ya jf sitii neno!
Umepotea sanna.
Hawa mawaziri vijana walioteuliwa juzi huenda Rejao.naye kaupata so hana muda sana wa kuingia huku
jaman cjamwona loongtime ndo mana
thubutuu lazma waingie wanajua jf inawapa makav live/kuwanyoosha labda unambie kabadil id ikawa ya ke..
anachungulia kwa mbaaali
wamepewa ukuu wa kitengo lumumba
Kama ni utoro huyo amezidisha
hahahaahaha......long time sana sijaonekana humu!!!
Am happy wote ni wazima na mnaendelea vizuri!!! Nimerudi upyaaaa,,,,,,ndio nawaza nianzie wapi cuz naona kila kitu humu ndani ni kipya!!! My wife Cantalisia hawajaniibia kweli!! flora msoffe dogo anaendeleaje?? Sister naye yupo???

Santeee....tupo pamoja mkuu!!karibu sana, hata hapa tayari ushaanza.
Hahahahahahah.....kweli wewe mkali, mpaka umeweza kunitoa pangoni!!! Salute!!hahaha finally umerudi! afadhali, nimetafta namba yako mpaka nkaipata loh nlikuwa nikuvutie waya hukohuko magogoni! dogo yupo cool anakaribia kuanza "VIDUDU"