Hapa nikiambiwa nisililie mapenzi nakubali..

Hapa nikiambiwa nisililie mapenzi nakubali..

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
NIMEIOKOTA FESIBUKU...

MUME: Hallo my queen...
MKE: Nambiee..
MUME: Nimekumiss honey
MKE: Asante..
MUME: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani.. nitakuja kesho asubuhi
MK: Unasemaje?? na uishie hukohuko.. kalale kwa hao malaya zako.. mwanaume mwenyewe mbaya kama sokwe.. sijui hata ni shetani gani alienishawishi hadi nikaolewa na -------- kama wewe.. yaani najuta.. najuta... sikupendi toka ndani ya moyo wangu.. sikupendi hata kidogo..naogopa hata watu kujua kuwa umenioa .. naona aibu.
MUME: Punguza jazba mke wangu niko bank.. kuna foleni ndefu sana..
MKE: Ahh pole sana honey.. nakuonea huruma handsome wangu wa kipekee.. bt baby usisahau kuniletea pesa kidogo.. ninashida na laki 2, afu kuna ile elfu 70 anayonidai mama amina leo alikuja kunikumbushia.. nimekuandalia maji ya moto sweetie ukija uoge mume wangu kipenzi.. then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni.. nimeimiss sana.. nakupenda sana mfalme wangu..
MUME: Ni bank ya kuchangia damu.
MKE: Na wakutoe hiyo damu yote, bora ufe tu.. huna lolote.. eti nyooo... potelea mbali..mijitu mingine bhana...
 
Hakuna jambo kama hilo kwa mume na mke labda mchepuko.
 
Hakuna jambo kama hilo kwa mume na mke labda mchepuko.

lisemwalo lipo.. kama halijakukuta subiri.. kuna wanaume wanajaribu kuwawavumilivu wakidhani wake zao wanaweza kubadilika bt mwisho wa siku inakuwa kama ilivyo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom