naombeni maombi yenu naumwa

naombeni maombi yenu naumwa

TOMEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
588
Reaction score
118
toka jana ulimi unauma nakula kwa shida kwa ajili ya kidonda
 
Pole, Uwe na nafuu ya haraka.. Pole rafiki.
 
kwa kawaida yake ulimi huwa unapona wenyewe tu. Usiwaze utapona mkuu
 
poleee, kama unakaasali lamba ndo ulale.
Ee Mungu mponye na umtolee maumivu
Sleep sound.
 
Hospitali first...halafu ndo uombe kuombewa
 
Kama vidonda vya mdomo Asali dawa sana au nenda pharmacy wako na dawa iko kwenye tube Kama dawa ya msuwaki lakini hiyo nduchu rangi ya zaitun tube yake lakini dawa yake ndani rangi ya cream nzurii SANAAA ...inshallah utapona haraka.....
 
Ushakwisha kupona, mtumainie mungu tu!! Ila na hospital uende!
 
upone kwa jina la yesu na katika maombi hayo nawaombea ndugu zetu wana kikundi (ukawa) waache kukomaa ki...la warudi bungeni
 
upone kwa jina la yesu na katika maombi hayo nawaombea ndugu zetu wana kikundi (ukawa) waache kukomaa ki...la warudi bungeni
Binti mzuri kama wewe ufanani kabisa na kuishabikia Ccm ingawa ni haki yako kikatiba.
 
Binti mzuri kama wewe ufanani kabisa na kuishabikia Ccm ingawa ni haki yako kikatiba.

mi sio mzuri.......sishabikii ccm wala chadema
hujui chama changu,ila katiba ni ya mwananchi na sio ccm wala chadema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom