Vyakula vya mifuko ya plastiki

Vyakula vya mifuko ya plastiki

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Ni lunch time naenda kupata msosi sehem. Ugali unatolewa toka mfuko mweusi ulio ndani ya sufuria lililo juu ya moto. Naangalia tu najiambia siku nyingine sitakula tena. Hali ni hiyo hiyo kwa wali ambao hufunikwa kwa mfuko mweusi wa plasiki uive fasta. Hakika tunadhurika wengi na tunadhurika sana.
 
Ni lunch time naenda kupata msosi sehem. Ugali unatolewa toka


mfuko mweusi ulio ndani ya sufuria lililo juu ya moto. Naangalia tu najiambia siku nyingine sitakula tena. Hali ni hiyo hiyo kwa wali ambao hufunikwa kwa mfuko mweusi wa plasiki uive fasta. Hakika tunadhurika wengi na tunadhurika sana.

wataalamu wa maswala ya afya wanasemaje hapa? Maana kwa sasa kila maeneo ya mama ntilie mbagala kurasini nyerere rd na maeneo mengine mambo ni hayo hayo
 
Plastiki ikiyeyuka na kuchanganyika na chakula ni hatari kwa afya ya binadamu, nasikia inasababisha kansa. Madaktari waje hapa watujuze, ingawa si jukwaa lake!
 
Ni balaa,nakumbuka mara nyingi nabeba chakula kwenye rambo kupeleka gheto nikitoka job.. Naomba kufahamu zaidi.
 
TBS wako wapi?? na wale wa chalula na madawa sijuhi wanaitwaje?
 
Mods naomba mhamishe hii habari iende jukwaa husika. Pia tungependa kupata maoni toka kwa wataalam
 
Back
Top Bottom