Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Hello jf,
Naomba kujua tabia za mwanamke unaetaka kumuoa zina shabihiana na nani upande wa kwako pindi unapotaka kumchunguza?
Maana kuna wengine hawana ile hali ya kuolewa na wakadumu na ndoa zao.