Skia hii,kuna jamaa alikua kipofu ndugu zake wakampeleka india ili afanyiwe opareshen na aweze kuona kama kawaida
alipofika hospitali kufanyiwa oparesheni madokta wakambadilisha macho na...
Habari zenu wana jamvi,baada ya ukimya wa ghafla na kupoteea jukwaani kutokana na makujukumu ya hapa na pale.
Hivi sasa nimerudi jamvini tena kwa nguvu mpya na kasi mpya in the mean time...
Ilikuwa mnamo mwaka 2007 nikiwa club Maisha pale Obey...Kijana ndo nimemaliza zangu form six. Basi humu ndani kama kawa full kudansi na kadhalika. Nikamwona binti mmoja mzuri nikamfuata nikaomba...
Kwako dada Evelyn Salt, ninazo sababu za kukumbuka leo; leo ni siku ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako.
Happy Birthday, Evelyn Salt! Mungu akukirimie wingi wa miaka, uone wana wa watoto...
Yuko humu humu Jf,
napenda comment zake,
Napenda Id yake,
Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa.
Au ni mke wa mtu?
Kumtajaaaa! Mm roho inasita.
Nifanyeje
Kuna rafikiangu alienda kanisani na mdogo wake wa kike,wakiwa kanisani wakati mchungaji anatoa neno la bwana yule mtoto c ndio akaanza kulia
mchungaji akajua kua neno la bwana limemgusa yule...
Ukiitafakari kwa makini imejaa utata mwingi...!!! Kwa mfano hebu iweke hivi
Tumboo
Tuu mboo
Tu mboo
2 mboo
Two mboo
Hakika vyovyote iwavyo ina utata kama si ukakasi
Basi lenye watu ishirini wenye sura mbaya lilipata ajali na abiria wake wote kufariki dunia.Walipofika mbinguni Mungu akawaambia"kwakua mliishi maisha ya kuchekwa kutokana na sura zenu,nitampa...
Habari zenu. Nimekuja tambua pia majina (username) ya baadhi ya wana jamii forum ni vituko na vichekesho. Nikisoma baadhi ya majina huwa naishia kucheka. Kwa mfano: siafu dume, mandingo...
Napenda kuuliza tu eti hapa jf tunabaguana? Utaona thd nzuri lakini kwavile aliyeipost sio mtu maarufu hapa jf basi hakuna anayechangia au thd sio nzuri sana lakini wachangiaji wanakuwa wengi...