Shkamoo Tz
Nchi ambayo watu hushinda online 24 hours kila post wanacomment alafu wanalalamika maisha magum#shenzy fanya kazi
Nchi ambayo watu hawajui katiba yao ya zaman lakini...
Kwa nini hujalala?
1, Uko baa
2, Ni mlinzi
3, Hujaoa au hujaoelewa
4, Ni changudoa
5, Umeenda kuchepuka
6, Unachati na mchepuko wako au mkeo,
7, Unajisomea
9, Unaumwa
Naomba tujitokeze...
Wakuu nilikua naangalia 5 Sport ya EATV kuna mtoto hapa nimemwona anaitwa MAGDALENE MUSHI.. Mtoto anang'ata ung'eng'e balaa alafu kanivutia ile mbaya.. Huyu ni mmachame mwenzangu bila shaka...
Katiba mpya ya Tanzania ukimpa mwanafunzi mimba unaenda wewe shule badala yake mpaka ajifungue bila kujali cheo ulichonacho au umri. Watanzania je hii itasaidia ?
Aisee sijui ni kipaji au kupenda tu kusumbua....kuna watu wanapenda kuuliza maswali usifanye utani....
Wapo wale ambao huwa hawapendi kushughulisha bongo zao/miili yao...wao madam yupo mtu wa...
Wish you nice LIFE...
Penye nia pana njia..
True Love never fail...
Hongera First Born & romantic eyes..
mwongozwe na Kitabu cha Wakorintho...
Pole braza Ntuzu..
Love...
Uwanjani sasa tupia status yeyote ambayo ilisha kushtua sana whatsap kati ya contact zako mimi nitaanza na hii.
"Ya kwangu ropoka ya kwangu kalia uote mkia"
Zimebaki siku chache niadhimishe miaka kadhaa ya ndoa yangu.Niliifungia hapa Dar,ilibidi kuwaleta wazazi na wanafamilia wengine.
Siku moja kabla tulikuwa na kikao cha familia,mzee akanishawishi...
Demu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi .
Jana kaniomba laki 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.