belie
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 387
- 261
dokta alikua anakwenda kuwinda, hivyo akamuachia majukumu msaidizi wake jason.
doka; jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako angalia wagonjwa wote.
jason; ndio mkuu
dokta alvyorudi akamuuliza "vipi jason mambo yalikwendaje hapa?"
jason; mambo yalikwenda sawia kabisa, niliwashugulikia wagonjwa wa3!! wa kwanza aliumwa kichwa nikampa panadol.
dokta; safi sana enhe na wa pili?
jason; wa pili alikua anaumwa tumbo nikampa flagyl.
dokta; bravo! kumbe naweza kukuachia ukakaa mwenyewe sasa, enhe na wa tatu je?
jason; dokta nilikua nimekaa gafla mwanamke mmoja akaingia na kuvua nguo zote akabaki mtupu akalala kwenye meza akapanua miguu na kupiga kelele "nisaidie doktaa kwa miaka mitano sijamuona mwanaume!"
dokta; mungu wangu!!!! ukafanyaje sasa??
jason; nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho...
hahahhahahhahahhahaha