Mademu wengine siyo kabisa

Mademu wengine siyo kabisa

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na wote wanakula nyama utadhani wamemeza vidonge vya njaa na kunywa bora uunyweshwe msukule ila sio wale.
Ilibidi baada ya kunitambulisha nimpeleke pembeni nimuulize maswali haya:
Nilikwambia leo nina mdahalo?
Nilikwambia nataka kufungua VIKOBA?
Kwa sababu tulikutana kimazabe na hatukuwa tumejuana vizuri pia niliaga naenda haja ndogo na ndo ilikuwa nitolee hadi leo.Bili ya bia zao sijui ilikuwaje maana simu zilipigwa hadi leo kimya.
 
Wanakuthaminisha kama una pesa, akili ya kutosha kupambana na changamoto, kujiamini kwako yaani uanaume wako upoje, na la mwisho wamejikusanya vile kujilinda.
 
Hahaha!!! dawa ya moto ni moto
 
Mnakutana Na wanawake malimbukeni

sikukutegemea kama ungekuwa biased hivi. Hebu fikiri kidogo kuwa umemwalika mtu dinner kisha naye anawaalika wa aina yake watatu. Utafanya nini kama ni wewe? Kinadada elimikeni. Huyo katendwa kidogo tu na ingekuwa mie najilipia bia zangu tu mengineyo mtajuana na wenye baa.
 
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na wote wanakula nyama utadhani wamemeza vidonge vya njaa na kunywa bora uunyweshwe msukule ila sio wale.
Ilibidi baada ya kunitambulisha nimpeleke pembeni nimuulize maswali haya:
Nilikwambia leo nina mdahalo?
Nilikwambia nataka kufungua VIKOBA?
Kwa sababu tulikutana kimazabe na hatukuwa tumejuana vizuri pia niliaga naenda haja ndogo na ndo ilikuwa nitolee hadi leo.Bili ya bia zao sijui ilikuwaje maana simu zilipigwa hadi leo kimya.

We Mkubwa Sasa Ifike Wakati Uoe Sasa.
 
Siku hizi imekua kama kamtindo hako, uliwafanyia njema
 
Hjaahahahahahahahahahahahaahahhahahahahahahaahahaahhahaa

ndiyo dawa yao hao mazwazwa umenimaliza mbavu aiseeee
 
Last edited by a moderator:
sikukutegemea kama ungekuwa biased hivi. Hebu fikiri kidogo kuwa umemwalika mtu dinner kisha naye anawaalika wa aina yake watatu. Utafanya nini kama ni wewe? Kinadada elimikeni. Huyo katendwa kidogo tu na ingekuwa mie najilipia bia zangu tu mengineyo mtajuana na wenye baa.

Na hatubadiliki we ulitaka aje mwenyewe ili iweje kaja na watu wengine kiusalama lazma next time unajiandaa na sio wote wanategemea bia za bure walikua wanakupima tu
 
sikukutegemea kama ungekuwa biased hivi. Hebu fikiri kidogo kuwa umemwalika mtu dinner kisha naye anawaalika wa aina yake watatu. Utafanya nini kama ni wewe? Kinadada elimikeni. Huyo katendwa kidogo tu na ingekuwa mie najilipia bia zangu tu mengineyo mtajuana na wenye baa.

Mi siyo dem we jamaa nimekwambia hao wanawake ulokutana nao ndio malimbukeni. Mi Ni mwanaume
 
Dawa yake ungewapigia simu washkaji zako kila mmoja aondoke na wake
 
Inawezekana walikuwa na fedha zao na ulipoondoka wakajilipia, kuwa makini wanawake sio kila mwanamke unayemuona unamtongoza utakutana na majini
 
Mkuu umekosea kukimbia ulitakiwa umtafutea na jamaa yako aje ambebe huyo alieongezeka akome uroho
 
Hahahaha! wadada huwa wanakuwa warafi utadhani mwaka mzima hawajapata chakula, wadada washamba ndio wanatumia nafasi hiyo kuagiza hata wasivyovijua mwisho vinawashinda.
 
Nimemtongoza demu fulani na bila ajizi kakubali.Siku ya jana tukakubaliani tukutane baa moja iliyoko Sinza.
Cha ajabu demu kaja na marafiki zake wawili wakati mimi nimejiandaa kimawazomawazo na wote wanakula nyama utadhani wamemeza vidonge vya njaa na kunywa bora uunyweshwe msukule ila sio wale.
Ilibidi baada ya kunitambulisha nimpeleke pembeni nimuulize maswali haya:
Nilikwambia leo nina mdahalo?
Nilikwambia nataka kufungua VIKOBA?
Kwa sababu tulikutana kimazabe na hatukuwa tumejuana vizuri pia niliaga naenda haja ndogo na ndo ilikuwa nitolee hadi leo.Bili ya bia zao sijui ilikuwaje maana simu zilipigwa hadi leo kimya.

Hii stor ya uwongo. Ila nimependa hizo 'hadi leo' zilivyokaa kaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom