na wewe ndiyo mwenyekiti...
kiwatengu kiwatengu kiwatenguTufanye kura ya veto.
Ila wewe ndo unafaa mkuu.
C.c utafiti Khantwe Heaven Sent. miss neddy Heaven on Earth Ntuzu charming lady First Born mshana jr
Kama kura yangu mnaiweka kwenye dustbin sawa tu ila nadhani niliempigia anafaa sana....
Shem acha dharau bwana
Unataka wakongwe wenye chit chat yao waje wanirushie mawe hapa hata sitaki
Usijali tutapambana nao ila kwa heshima na upendo mkuu