JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mu-hali gani wanajukwaa.... Siku sio nyingi mama yangu ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa... Nikiangalia sioni zawadi gani nimpatie, make nilishampatia kila kitu kilicho ndani ya uwezo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
uko mbali na nyumbani unaamua kumpigia mkeo simu njemba inapokea na inajibu 'mwenye simu anaoga 'na hapo kwako unajua hakuna mwamaume ,ghafla simu inazimwa kabisa mpaka kesho yake,kama uko bungeni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
mwezi wa pili mwaka huu niliuza mechi na dada mmoja mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini.baada ya hapo nilipatwa na vipele kuzunguka state house yangu,juzijuzi nikawa na homa za mara kwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumwambia mwanamke kiasi cha mshahara unachopokea ni sawa na kuuza ramani ya vita kwa adui.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cheki Watu wanavyojipaisha Vyeo 1. Mzoa taka-enviromental technical officer 2.Mlinzi-thieves prevention officer. 3.Dada wa kazi nyumban-domestic manager 4.Mmbea- research manager 5.Mbeba...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Siku moja ilinyesha mvua kali, barabarani mafuriko balaa. Mitaani kote kumejaa maji, kuna sehemu magari yote yameshindwa kuvuka, yamepaki kusubiri maji yapungue, jamaa mmoja alikuwa katikati ya...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mmmmmmmh Siwadisi mademu kwa sifa ila najiuliza hivi nao ni bidhaa**? mbona wanajiunza na wamepata wapi hiyo ridhaa**? ingawa siwanunui ila nimewaona maeneo kadhaa**? ndipo lipongundua...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
0 Reactions
0 Replies
812 Views
SIKU NYINGI SANA SIJATUMIWA UJUMBE WA FARAGHA (PM) tafadhali upatapo mada hii NI-PM
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hureeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Madadiii na mashostito. Leo wapiiiiiiiii? Happy Birthday to me
1 Reactions
14 Replies
1K Views
JAMAA.mmoja alikutwa na police anakojoa sehemu iliyoandikwa hakuna kukojoa police akamwambia faini .500 jamaa akatoa elfu .10000 police akamwambia malizia mkojo wako sina chenji? jamaa akakataa"...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What Uhuru did is messing many families in Kenya.Read this Husband : What are we having for dinner? Wife: I have not made anything. I am the acting husband Husband : ****In shock****** **Knock on...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Huyu binadamu ana cheo gani Jamiiforums. Nauliza hivi kujua, maana umakini wake jamvini ni zaidi ya mtoto wa madrasat anayejifunza arif chini ya mkufunzi mkali sana. Wengine kama miss chaga ni...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikiwa kwenye daladala ya kutoka Ubungo kwenda Kibaha, nilimsikia dada mmoja akimwambia mwenzake kuwa mwanamke yeyote akimrudishia pesa mume/mpenzi wake alizozikuta kwenye mifuko ya nguo zake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwota ndoto hafi mpaka ndoto yake itimie gnyt
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa alikuwa hajawahi kupanda ndege, siku akapata safari ya kupanda ndege kuelekea ng'ambo. Kabla hajaenda aliomba ushauri toka kwa wazee, mzee mmoja mbwabwajaji sana kijijini kwao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale waliowahi tembelea waganga wa kienyeji, nasikia kunakuwaga na masharti magumu sana. Kuna rafiki yangu aliniambia ndugu yake amewahi ambiwa ili afanikiwe katika alichokuwa anataka fanikiwa...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Mapenzi(sex),kulala(usingizi) na haja kubwa,hizi ndio starehe ambazo haijalishi kama u tajiri au maskini uwe ulaya,amerika,asia ama afrika wote tuna enjoy the same. hii ni kwa mujibu wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mlevi mmoja aliona tangazo la kazi kwenye kampuni moja ya bia, sharti lilikuwa ni moja tuu, awe mtaalam wa kunywa pombe, akatuma maombi ya kazi. Baadaye akaitwa kwenye usahili. Siku ya usahili...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…