Breaking news:waziri ambaka mwanafunzi

Breaking news:waziri ambaka mwanafunzi

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
kijana mmoja kutoka mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema aliyetambulika kwa jina la Waziri Saidi(23) ametiwa mbaroni na Polisi kwa kosa la kumbaka binti wa miaka 11.Taarifa zaidi ntawapa nikimaliza kukoga...
 
Ok haina noma nilifikiri Waziri Athuman ndugu yetu kumbe waziri said.
 
Mie nilidhani waziri mahadhi yule mchezaji wa zamani wa mpira lol!
 
Back
Top Bottom