Plate number T000SEX

Plate number T000SEX

swanga

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
83
Reaction score
17
Wana jamvi
Hivi magari yakiwa na number hizi T 000 SEX
Itakuwaje?
 
Kwa utaratibu wa sasa wa sajili, haitakaa itokee namba kama hiyo hapa nchini. Narudia haitakaa itokee. Ulichodhani unataka kuchekesha kilishafanyiwa kazi zamani sana.
 
Haitatokea hapo kwenye namba kuwa 000 lakini herufi SEX zitakuwepo, kwanini unafikiri hazitakuwepo!
 
Waliondoa tarakimu na namba zenye utata. Hata hayo maneno yalio na mwelekeo usio sahihi kumaadiliyameondolewa pia. Take it from me.
 
Sasa neno SEX linaondoa maadili gani? au ni tusi?
 
Waliondoa tarakimu na namba zenye utata. Hata hayo maneno yalio na mwelekeo usio sahihi kumaadiliyameondolewa pia. Take it from me.

Mbona ASS waliacha wakati ni tusi dhahiri? acha hizo bhana...., I cant take it from you
 
Nijuavyo mimi herufi zenye utata ni zile ambazo zina fanana na namba ndizo ambazo hazitumiki kama O for old na I for it hizi zinafanana na sifuri na moja!
 
Back
Top Bottom