Nisaidieni Wadau Hili Jambo.

Nisaidieni Wadau Hili Jambo.

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Ninaingiaga sana kwenye tovuti mbambali. Kuna wakati naletewa fomu nijaze.
Kwenye fomu hizi unaulizwa mambo mengi kama vile jina, namba za simu nk.
Vyote hivyo havinipi shida.Shida inakuja pale ninapoulizwa zip code.Sasa nauliza wajamen:Hivi,
zip za suruwali zetu zina code?Nilichunguliaga siku moja sikuona code yoyote.Au labda suruwali zangu
ni za hali ya chini nini?
Hebu niambieni. Nyie mnajaza nini kwenye zip code?
Na wanawake wanajazaga nini kwenye zip code?
 
Kweli kaka hata mimi huwa linanipa shida ila sina uhakika na umakini wako katika kuliuliza, kwanini umeleta kwenye jukwaa la jokes/utani!
 
Kweli kaka hata mimi huwa linanipa shida ila sina uhakika na umakini wako katika kuliuliza, kwanini umeleta kwenye jukwaa la jokes/utani!
Red Scorpion, nimeona hili jambo nilifanyie mzaha kidogo kwa sababu ya neno zip.Kwa nini wachague neno hilo lina maana yake kamili?Hawakuweza kuchagua neno jingine?Wangeweza kwa mfano kuchagua mail code badala ya zip code.Mambo ya waamerika ni majanga tupu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom