JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna jambo moja huwa linanitatiza.Ni kuhusu mahusiano ya majina katika familia ambapo kuna mdada wa kazi mfano: Dada wa kazi anamuita mama mwenye nyumba DADa Baba mwenye nyumba SHEMEJI na watoto...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamiiforums, Nina swali ambalo linanitatiza kwa wanawake na mabinti.Kwa miaka ya karibuni wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakipenda sana vazi la suruali na kila mwanamke ili...
0 Reactions
83 Replies
22K Views
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mimi ni mtu wa Makamo nina miaka 45 nimejaliwa NSSF nimejaliwa kuoa wake wanne, Hawa, sauda, salma, na Janeth. mke wanne ni msomi kiasi Ana degree na hivi majuzi amehitimu CPA. Kila Mke...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Huyu kocha anaonekana amechapwa mpaka kachapika,hivi anafundisha timu gani huko England?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Heshima yenu! unawezaje kumanage kuwa na mwanamke ambaye amekuzidi elimu na kipato pia?????????? Maana mmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh.... Ni hilo tu..
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikiwa na miaka 14c nilianza kamchezo ka kujichezea nyeti. Hapo ndio kwanza nlikuwa nimeingia form one. Nlienda na tabia hiyo hadi nlipokuwa chuo. Hakika nilikutana na magumu mengi, kuna wakati...
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unajua mwaka ndio unamaliza huu ,itakuwa si busara ,yeah si unajua hapa humu mmu ndio kwenye mademu wa JF ambao wako tayari kabisa kushare our feelings na theirs ,sidhani kama wapo humu just...
3 Reactions
275 Replies
18K Views
Ni kitanda cha chini kwenye hivi vitanda vyetu vya dabo deka Chuoni..ha ha ha ha
0 Reactions
11 Replies
3K Views
tulifanye hili liwe game la mwendelezo kwa kuandika kitu au vitu visivyofaa na kumalizia na maneno UTAKUWA BWEG.E.. au HUO NI UBWEG.E.. NAANZA MIMI... mwanaume ukiwazoesha wanamke kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Should I nail her friend??? "My campus girlfriend always comes with a fleet of babes whenever I call her out. However, chemistry seems to be growing between me and one of these girls she always...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Muda mchache kabla ya ndoa yangu nilikuwa nashangaa mdogo wake na Mke wangu alikuwa ananivalia nguo za kunitega sana! Siku moja nilikwenda kwao nikamkuta peke yake akiwa amejifunga kanga moja...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
oy oy oy oy oy oy oy
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Kijana wa mulugo alitumwa na baba yake akanunue gazeti la tarehe 10, kijana akaenda kwenye kibanda cha gazeti kwa bahati mbaya magazeti ya tarehe 10 yalikuwa Yamekwisha, kwa akili zake fupi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.jerry rawlings madiga 2.danny nko 3.hassan bosso 4.adnan saleh aka kashogy 5.amini abdallah 6.magongo maruzuku 7.heri kachonga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kimzizi fulani huwa natafuna nikiwa naongea na mwanamke ninayemtaka, tena huwa namwambia maneno machache tu, unaonaje leo ukispend siku yako nzima ukiwa ubavuni mwangu? Hachomoki hata akiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kwenda ubaharia kiasi cha miaka kumina tatu nikatamani kurudi kwetu ,ni kipindi kirefu nimeondoka na hamu ya kurudi na kuangaza nyumbani imenijia ,na kweli melini inakuwa huna wala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom