Mpenzi wangu amenishawishi kula Nguruwe

Mpenzi wangu amenishawishi kula Nguruwe

thebigbobo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
168
Reaction score
17
Mimi ni mtu wa Makamo nina miaka 45 nimejaliwa NSSF nimejaliwa kuoa wake wanne, Hawa, sauda, salma, na Janeth.
mke wanne ni msomi kiasi Ana degree na hivi majuzi amehitimu CPA.

Kila Mke nimempa Nyumba. Huyu wa nne anakaa mikocheni B.

Mimi nampenda sana bi mdogo, wanasema kipya kinyemi, kuna siku aliniandalia chakula akaniambia ni halamu but nikila siwezi kufa.

Kwa kuwa nampenda sana nikaonja kabla sijaamaliza kutafuna akaniambia ni Kitimoto.

Nilishituka nikatema haraka nikamuangalia kwa hasira huku tukikutanisha macho kwa dakika kadhaa huku nikitetemeka.
Akavua nguo zote akaniambia "nifanye chochote lakini mapishi yangu ya Leo yameishia hapo"

Mara nikahisi kautamu kanakuja kwa mbali nikashushia na tonge la ugali.

Sasa Toka siku hiyo bila Kitimoto sipati raha.

Wake zangu watatu wamepata habari kuwa nalishwa Kitimoto na Janeth ndio maana kila siku nalala kwake! WanaJamii Forum nifanyeje kuokoa familia yangu?

Mimi usadhi maulid bashir.
 
Hawa wanawake bhana sasa ni km hadithi ya Adam na hawa yaani hawa watu wanajua weakness zetu nenda katubu km dini inakuruhusu.
 
Katika watu wasiojielewa wewe na ....... Wewe ni wa kwanza.
 
Mimi ni mtu wa Makamo nina miaka 45 nimejaliwa NSSF nimejaliwa kuoa wake wanne, Hawa, sauda, salma, na Janeth.
mke wanne ni msomi kiasi Ana degree na hivi majuzi amehitimu CPA.
Kila Mke nimempa Nyumba. Huyu wa nne anakaa mikocheni B.
Mimi nampenda sana bi mdogo, wanasena kipya hakinyemi, kuna siku aliniandalia chakula akaniambia ni halamu but nikila siwezi kufa,
Kwa kuwa nampenda sana nikaonja kabla sijaamaliza kutafuna akaniambia ni Kitimoto. Nilishituka nikatema haraka nikamuangalia kwa hasira huku tukikutanisha macho kwa dakika kadhaa huku nikitetemeka.
Akavua nguo zote akaniambia "nifanye chochote lakini mapishi yangu ya Leo yameishia hapo"
Mara nikahisi kautamu kanakuja kwa mbali nikashushia na tonge la ugali.
Sasa Toka siku hiyo bila Kitimoto sipati raha.

Wake zangu watatu wamepata habari kuwa nalishwa Kitimoto na Janeth ndio maana kila siku nalala kwake! WanaJamii Forum nifanyeje kuokoa familia yangu?

Mimi usadhi maulid bashir

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=10717355
 
Ushauri gani unataka? Hata huo u.chi wa Janeth ni haramu kama ni swala la uharamu.
Maisha yako yako mikononi mwako, Achana na sisi kabisaaa!!!
 
aisee!!!!!

Kwa kipindi chote cha maisha yangu nimegegeda mwanamke mmoja tu kwa kifupi mimi sijui kutongoza ila roho yangu ipo kwa wahindi, waarabu na wazungu nikikutana nao mi hoi ila kutongoza siju hata kidogo kiasi kwamba nimebakia kupiga Nyeto tu kwa miaka zaidi ya 15 baada ya kuchana na mpenzi wangu nikiwa form two. Kwa wataalamu mnipe maujuzi!
 
Mkuu mi nikupongeze tu kwa hatua hiyo nzuri uliyofikia....huo mzigo hauna tatizo lolote
 
Mimi ni mwanaume 30yrs baada ya kutoa mada hapa JF kuwa Mke wangu Ana papuchi kubwa.

Amekamata simu yangu na kusoma comment baadae Ameniacha kabisa na kuondoka na House girl.

Sasa sina papuchi ya kuniliwaza naomba Msaada wenu, Mwanamke msafi asizidi miaka 50! Inbox namba yako hapa. ila sina mpango wa kuoa nikuliwazana tu.

Tarehe 27 September mwaka huu ulikwa mwanaume wa miaka 30 leo tarehe 20 October umekwa mtu wa makamo kwa kufikisha miaka 45! Najaribu kukokotoa rate ya ukaji wako kwa sekunde hapa kwi kwi kwiii....Kajipange tena!
 
Back
Top Bottom