TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 2,724
- 2,890
Nikiwa na miaka 14c nilianza kamchezo ka kujichezea nyeti. Hapo ndio kwanza nlikuwa nimeingia form one. Nlienda na tabia hiyo hadi nlipokuwa chuo. Hakika nilikutana na magumu mengi, kuna wakati nlikuwa nashindwa kujizuia na kukuta nime ji "do" mara nne kwa siku.
Nakumbuka siku moja nikiwa chumbani kwangu mama yangu mzazi alinifumania nikijipa raha za mwilini, alinisema sana lakini sikuacha.
Bwenini nlishawahi kufumwa, niliabika sana lakini kamwe sikuacha.
Nikiwa mwaka wa pili pale udsm, nikipiga puchu mbele ya dressing table yangu, nilinogewa na utamu na kujihisi raha ya ajabu iliyonifanya nishishwe kuhimili uzani wa mwili wangu na kujikuta nikiangukia kioo ambacho kwa ile kasi nliyoanguka nayo kilinipasua vibaya sana sehemu zangu za usoni.
Sikukoma, nkaja kuvunjika mguu kwa hilo pepo la punyeto lilivyonipelekesha.
Siku moja nikiwa na rafiki yangu nlihudhuria mkutano wa lnjili wa Christopher mwakasege, akasema ameshuhudiwa na Roho wa Bwana kuwa kuna mtu ana pepo la punyeto, akanyoosha mkono wake upande ule nliokuwa nimekaa, nikajikuta naangushwa na nguvu nsiyoijua na kupoteza fahamu, nlipozinduka ilikuwa ni saaa 3 usiku nikiwa nimezungukwa na wana maombi kwenye mabanda ya waliopawa na mapepo yaliyokuwa yametengenezwa pale kwenye Uwanja wa Biafra.
Nikaambiwa kuanzia saa 11 jioni nlikuwa naombewa nan pepo la punyeto lilikuwa limegoma kabisa kutoka, hadi saa tatu ndio likatoka.
Punyeto ni mapepo na hakika yanatesa. Kwa Yesu kuna raha, sasa niko huru kwelikweli. Namshukuru sana mungu