Huu undugu umekaaje

Huu undugu umekaaje

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,999
Reaction score
2,582
Kuna jambo moja huwa linanitatiza.Ni kuhusu mahusiano ya majina katika familia ambapo kuna mdada wa kazi mfano:
Dada wa kazi anamuita mama mwenye nyumba DADa
Baba mwenye nyumba SHEMEJI
na watoto wa kwenye hiyo familia Unaezakuta anaita
DADA/KAKA
Je hii imekaaje ndg zangu
 
inategemea na umri wa wanandoa ndo mana anaita dada/mama
 
Huwa nachoka kbs na haya mahusiano ya wadada wa kazi na family
 
tulipata housegirl kwa umri anafanana na mwanangu lkn babaangu mzazi alikuwa anamuita shemeji.
 
ni heshima tu..mtu unaaka nae anakupikia anakufanyia kazi muhimu ni kama ndugu tu
 
Back
Top Bottom