TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 12,077
- 24,447
Kuna kimzizi fulani huwa natafuna nikiwa naongea na mwanamke ninayemtaka, tena huwa namwambia maneno machache tu, unaonaje leo ukispend siku yako nzima ukiwa ubavuni mwangu? Hachomoki hata akiwa mlokole, tatizo nisipikuwa na kizizi, kila demu ninayesaundisha hanikubali. Sasa nataka niachane na hizi ishu za mizizi mizizi, nifanyeje kuwanasa hawa kina SITTI ABBAS MTEMVU?