Nikikumbuka zama za zamani ikiwa tupo shule au mitaani ,ghafula kunaweza kuzuka ugonvi au ushindani wa mabezo ,saa ingine hupelekea kufumka ngumi zile za kubeta mchanga ,eti ukibeta unaambiwa...
Kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni. Akiwa huko, aliambiwa na Malaika kuwa ametolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama au ndege.
Kijana akachagua awe kuku...
Je wakumbuka haduthi ipi? Taja kichwa chake tu. Mi naanza,
1. Ali ni mtoto mtundu.
2. Watoto wageuka mawe.
3. Safari ya mti.
4. Sadiki na Sikili.
Tupia unayokumbuka bila kujali darasa.
Jamaa alikuwa akifanya kazi kiwandani na
kila siku
alikuwa anafanya overtime, Bosi wake
akamuita na kumsifu sana na kumuahidi
akiendelea na
moyo huo angemhakikishia kumpa cheo
kikubwa katika...
Huwa navutiwa sana na na baadhi ya mavazi ya wadada wa kitanzania na ndio huwa kivutio nambari one huwa sitazami sana sura kwani it doesn't matter for me ,kwanza samahanini natumia ujana wangu...
Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani,
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one,
Nlitaman nishuke nlishindwaa,
Zitatapakaa scandal najuaaa,
Midomo ya binadam michafu sana,
Tena ni wana...
TANGAZO:
Kwa wale REGULAR CUSTOMERS wanaopenda
kwenda MLIMANI CITY,ile Ada ya PARKING
inaanza kutumika rasmi KESHO
Bei ni BUKU KWA SAA....
Wale mabishoo wanaoendaga kupaki ili
wanunue POPCORN na...
Bongo siku hizi maisha ni tambarare....udalali ndio mpango mzima...kila ukitakacho utaletewa mpaka mlangoni kwako, pesa zako tu! Hii advert ya kumpata mume mwenye fedha au mume mzungu nimeipata...
Nasema hviii ctak kusikia k2 knachoitwa sapraizi tena ctak heti nsikie kam2 kanasema "ooh bebi nataka nkusapraiz" ctak tena ctakii,unajua kwa nn,kun mwanariaza mmoja wa sauz kwa mandela alikua na...
Nimemuambia niletee picha yako leo ya sita sijamuona ,na alisema hajimudu hajiwezi kaniPM .nikamuuliza kwa lipi kubwa ,eti hata hajui imemtokea tu kunipenda ,niletee namba ya simu patupu,picha...
A congressman was seated next to a little girl on an airplane so he turned to her and said, "Do you want to talk? Flights go quicker if you strike up a conversation with your fellow passenger."...
Sehemu ya 02;
Nilipofika mferejini niliteka maji huku akili yangu yote bado ipo kwa john...mara nikawaza kujimwagia maji kidogo mgongoni na sehemu za nyuma ya makalio yangu ukijumlisha na...