Ni furaha kubwa kujiunga na hili jamvi

Ni furaha kubwa kujiunga na hili jamvi

Andfaru

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
223
Reaction score
151
Na furaha kubwa kujiunga na hili jamvi na natarajia support kubwa kutoka kwa wanajamvi
 
Na furaha kubwa kujiunga na hili jamvi na natarajia support kubwa kutoka kwa wanajamvi
Kwa hiyo Andfaru tangu ujiunge jf mwaka 2012 ni leo umeingia jukwaa la jokes? Karibu. Huli ni jukwaa la jokes na vituko vya kuchekesha/kustaajabisha. Tuletee visa viwili au vitatu vya kutuchangamsha!
 
Last edited by a moderator:
Haya karibu, ila usinune maana utani mwingine ni wa kweli humu.
 
Kaka we mwenye utafurahi tu, ngoja nipangilie visa na vituko vyangu ili nikianza naporomosha kimoja baada ya kingine kama ushuzi wa mtu aliyevimbiwa na mbaazi vile SHIEKA
 
Ndo sababu kubwa ya kuchagua hili jukwaa tomjelly
 
Back
Top Bottom