Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Nikikumbuka zama za zamani ikiwa tupo shule au mitaani ,ghafula kunaweza kuzuka ugonvi au ushindani wa mabezo ,saa ingine hupelekea kufumka ngumi zile za kubeta mchanga ,eti ukibeta unaambiwa kakutukania mamaako ,apo sasa ,au unapgwa mstari katikati ,ukiuruka hapo ni vita tayari ,
.
Baadhi ya mabezo nalikumbuka hili :_
Masikio ya nongo kama vijiko vya supu.
Mikono mirefu kama wenda kupokea maiti. kama unakumbukumbu unaweza kuongezea ! darasani kulikuwa na baadhi wakiyaandika na kuwa na vitabu ,ni utoto tu.