Kila mtu ana mawazo yake na hatuwezi kufanana mawazo. Shibuda anahaki ya kufanya kwa njibu wa akili yake inavyomtuma. Hata hao waliotoka bungeni hawakutoka kwa kuamua wao wenyewe, kuna wengine walitoka kwa sababu viongozi wao wamesema na hapakuwa na namna ya wao kubaki. Mamba na kenge wako katika makundi yote kwa waliotoka na waliobaki.:llama:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.