Kuanzia leo surprise ni marufuku

Kuanzia leo surprise ni marufuku

Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
11
Nasema hviii ctak kusikia k2 knachoitwa sapraizi tena ctak heti nsikie kam2 kanasema "ooh bebi nataka nkusapraiz" ctak tena ctakii,unajua kwa nn,kun mwanariaza mmoja wa sauz kwa mandela alikua na kamanz kake akakaua bila ya kukusudia kwa bunduk,tena cku ya valentine kwa kuzan n m2 kaja kuvamia,mi nahc ilikua hv kadem kamekuja na maua yake ya valentine.

Bila ya kumwambia jamaa kakiwa na lengo la kumsapraiz,kaka ingia kama kakibaka huku kananyata,kumbe jamaa alikua na wenge za ucngz,c akazan kajambaz.akachukua bastola akakapa moja 2 puuu,hukoooo kakafanye sapraiz na malaika,dah kadem kalitaka mfanyia jama sapraiz badala yak kakapata sapraiz ya safar ya kwa mungu sasa bas mm ctak hcho kidubwana ctak,uwe rafk,uwe manzi yang hata ndgu ctak mie jela hakuna likìzo ya midterm wala,terminal wala anual mziwanda_the_great_thnker
 
Sijaelewa naona vifupisho vingi wengine atuvielewi jamani.
 
Ukiandika kihuni unakosea.Na mtu akikutetea kwa uandishi huo naye ni mkosefu wa adabu.Mawazo yako mazuri ila uandishi...
 
Sasa ndo umeandikaje hivyo, vifupisho kibao visivyo hata na maana.......halafu unasema GREAT THINKER, kweli?
 
nasema hviii ctak kusikia k2
knachoitwa sapraizi tena ctak heti
nsikie kam2 kanasema "ooh bebi
nataka nkusapraiz" ctak tena
ctakii,unajua kwa nn,kun mwanariaza
mmoja wa sauz kwa mandela alikua na kamanz kake akakaua bila ya
kukusudia kwa bunduk,tena cku ya
valentine kwa kuzan n m2 kaja
kuvamia,mi nahc ilikua hv
kadem kamekuja na maua yake ya
valentine.bila ya kumwambia jamaa kakiwa na lengo la kumsapraiz,kaka
ingia kama kakibaka huku
kananyata,kumbe jamaa alikua na
wenge za ucngz,c akazan
kajambaz.akachukua bastola akakapa
moja 2 puuu,hukoooo kakafanye sapraiz na malaika,dah kadem kalitaka
mfanyia jama sapraiz badala yak
kakapata sapraiz ya safar ya kwa
mungu
sasa bas mm ctak hcho kidubwana
ctak,uwe rafk,uwe manzi yang hata ndgu ctak mie jela hakuna likìzo ya
midterm wala,terminal wala anual #mziwanda_the_great_thnker

Post count 23.
 
story za wanafunzi hao
kanaota mara kanafungua JF
hakana cha kutuma
 
Back
Top Bottom