Maegesho ya Gari Mlimani City 1000 kwa Saa

Maegesho ya Gari Mlimani City 1000 kwa Saa

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
TANGAZO:
Kwa wale REGULAR CUSTOMERS wanaopenda
kwenda MLIMANI CITY,ile Ada ya PARKING
inaanza kutumika rasmi KESHO
Bei ni BUKU KWA SAA....
Wale mabishoo wanaoendaga kupaki ili
wanunue POPCORN na kuangalia Makalio ya
wanaoenda Muvi...Na wale masistaduu
mfukoni una MIA NANE unaingia kwa madoido
MR PRICE unakagua Line nzima ya Chupi na
Viatu na hununui hata Leso IMEKULA
KWENU....Kama huna cha kufanya Ione
Mlimani City kama Kambi ya Miss Tanzania
kwa wadanganya umri..Window Shopping ishia
Mwenge huko na soko la Ubungo
Jioni..Unakaa Samaki Samaki Masaa Mawili
umeagiza Maji ya Uhai na Fanta Kipaplipapli
unamix kwenye Glasi na Ice POLEEE!!!.Kuanzia
kesho tunapaki WABABE TU!!
 
Mie nilifikiria kama buku tano hivi.
Yaani mbona rahisi sana,wanatofautiana kidogo tu na wale wanaopark mjini.
Pale Mlimani City haendi mwenye njaa.Ukiweza kumiliki gari pesa hizo ni ndogo sana.
Sie wengine Popcorn hizo tunanunua huku kwetu Shilingi mia tu unakula raha.

Nashauri Mlimani City ili kuzuia kujazana magari pale wafanye Elfu Saba kwa nusu saa
 
Back
Top Bottom