Nguo za nje zinapendeza je za ndani?

Nguo za nje zinapendeza je za ndani?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Huwa navutiwa sana na na baadhi ya mavazi ya wadada wa kitanzania na ndio huwa kivutio nambari one huwa sitazami sana sura kwani it doesn't matter for me ,kwanza samahanini natumia ujana wangu unajua haurudi tena ,huwaga nawadondokea sana kwa jinsi nguo au mtindo ulivyomkaa nakuwa sijiwezi ,ila sivamii tu ,na katika mitindo yote wanayovaa wanawake ,unaonitibua akili ni ule uliojulikana kama bwebwe sijui mmeufahamu mtindo huu ,mdada akinipitia na mtindo huu lazima nimjue anaendea wapi ,kufanya nini na nikibahatika kugongana nae macho kwa macho basi lazima atahisi mwenziwe siko kawaida na kama macho yetu yatawahi kuzungumza basi kinachofuatia ni kumuuliza lolote lile hata kama ..je umewahi kuona ng'ombe mwenye miguu mitano ,nitamuambia kijijini kwetu alizaliwa ,hajachanganya kulifahamu jibu namrushia suali jingine ,mpaka anijibu una masuali weweh !

Okay hilo sio dhumuni suali ambalo limekuwa likinipa maajabu hadi kutua hapa Jf na kuwawekea wadau ili mnipe ufahamu na kunipunguza mawazo ni hili lihusiananlo na chupi ,jamani chupi ,unajua nilipita mtaa mmoja hapa Dar ,mnaijua mitaa ya Dar ni ya utandawazi ,mlango wa choo gunia au tambara ,ukija upepo itakubidi ucheze sarakasi chooni ,sawa niliona nguo zimeanikwa katika hizo zilikuwepo chupi mwanzo nilifikiri ni nyuzi za viatu ,ila nikazifahamu kuwa ni underwear za kike ,sasa hivi dizaini hizi na ziko zingine nimeziona kwa wapenzi na michepuo kila moja inamshinda mwenzake ,sijui suali niliweke vipi ,ila kwa ufupi hivi hizi za aina hii ni chupi au pambo au ni kuwa mnapata medical advise ,huku upande wetu tunaambiwa tusivae chupi za kubana haswa ukiingia kwenye ndoa kwani za kubana zinauwa sperms haraka ,ila nyie wadada mumesibiwa na kitu gani hata ikawa mnavaa vituko hivi ? Maana kama ni mapambo huwa hayaonekani kama ile nguo ya mtindo wa bwebwe ? Tuelimisheni !
 
Hao hao ulokutana nao ndo vituko kaulize na wenzako wakwambiee vzr!
 
Shekhe Leo vipi!!
Tunatafuta elimu na uelewa ,si umeona from medical report kwa upande wa wanaume inapendelewa tuvae boxer na zilizo looze ila hawa mabinti ,sasa imefikia wanavaa uzi huoni kma kunahitajika maelezo kutoka kwao ?
 
Hao hao ulokutana nao ndo vituko kaulize na wenzako wakwambiee vzr!
Kama nimekugusa samahani sana ,sio lengo langu ,ningewauliza lakini wataniona mshamba na pengine nisipate jibu nikaonekana ovyoooh ila hapa ,kuelimishana ndio sifa ya JF !
 
zina madhara sana wenyewe hawajui. ndio maana wadada wengi wa siku hizi mataako yao yamewalegea mpk mtu unajiuliza hivi hawa kina dada wa siku hizi mataako yao wanayafanyia kazi gani??? sijui kazi nyingine ambayo wanayofanyia ila mi nahisi kwa ajili ya chuppi za aina hiyo.
 
Ila pichu ya kike bhana ina mvuto wake,huwa inanivutia sana ikiwa imevaliwa unamwona halafu kama anaivua ila kama kavua nguo halafu hana stimu mpaka inakata maze!
 
ndio maana wadada wengi wa siku hizi mataako yao yamewalegea mpk mtu unajiuliza hivi hawa kina dada wa siku hizi mataako yao wanayafanyia kazi gani???

Sasa mkuu unataka kalio la mwanamke ligangamale kama mashavu ya muheshimiwa mizengo kayanza...

Kalio la mwanamke shurti lidembwede na kurojeka kama nyanya iliyobanwa kwenye tenga...
 
zina madhara sana wenyewe hawajui. ndio maana wadada wengi wa siku hizi mataako yao yamewalegea mpk mtu unajiuliza hivi hawa kina dada wa siku hizi mataako yao wanayafanyia kazi gani??? sijui kazi nyingine ambayo wanayofanyia ila mi nahisi kwa ajili ya chuppi za aina hiyo.

Ni kweli maneno yako ,yaani kama wametia paka wawili halafu wanapigana ni hatari sana ,naona wanaogopa kutuliwaza na kutuelimisha wengine wamekuwa wakali kwa suali hili la kutumia aina hizi ?
 
Sasa mkuu unataka kalio la mwanamke ligangamale kama mashavu ya muheshimiwa mizengo kayanza...

Kalio la mwanamke shurti lidembwede na kurojeka kama nyanya iliyobanwa kwenye tenga...

mkuu, kuna mdebwedo wa kawaida na si wa kawaida. mdebwedo naoongelea hapa si wa kawaida.unakuta taako limedebweda kama amefungashia mavitu gani kwa ndani. mpaka linapoteza mvuto wenyewe.
 
Hivi kumbe huwa mnachunguza chupiiii,mimi huwa nawaza na kuzipanga style za kumkunja akunjike kwenye ubongo :cool2:
 
Ni kweli maneno yako ,yaani kama wametia paka wawili halafu wanapigana ni hatari sana ,naona wanaogopa kutuliwaza na kutuelimisha wengine wamekuwa wakali kwa suali hili la kutumia aina hizi ?

hawawezi wakatuelimisha kwa hili mkuu labda kejeli.
 
mdebwedo naoongelea hapa si wa kawaida.unakuta taako limedebweda kama amefungashia mavitu gani kwa ndani. mpaka linapoteza mvuto wenyewe.

Mkuu hiyo basi ni ile mizigo isiyopewa matunzo vizuri na mara nyingi inakuwa ina rangi nyeusi kama uvungu wa kwapa...
 
Huwa navutiwa sana na na baadhi ya mavazi ya wadada wa kiTz na ndio huwa kivutio nambari one huwa sitazami sana sura kwani it doesn't matter for me ,kwanza samahanini natumia ujana wangu unajua haurudi tena ,huwaga nawadondokea sana kwa jinsi nguo au mtindo ulivyomkaa nakuwa sijiwezi ,ila sivamii tu ,na katika mitindo yote wanayovaa wanawake ,unaonitibua akili ni ule uliojulikana kama bwebwe sijui mmeufahamu mtindo huu ,mdada akinipitia na mtindo huu lazima nimjue anaendea wapi ,kufanya nini na nikibahatika kugongana nae macho kwa macho basi lazima atahisi mwenziwe siko kawaida na kama macho yetu yatawahi kuzungumza basi kinachofuatia ni kumuuliza lolote lile hata kama ..je umewahi kuona ng'ombe mwenye miguu mitano ,nitamuambia kijijini kwetu alizaliwa ,hajachanganya kulifahamu jibu namrushia suali jingine ,mpaka anijibu una masuali weweh !

Okay hilo sio dhumuni suali ambalo limekuwa likinipa maajabu hadi kutua hapa Jf na kuwawekea wadau ili mnipe ufahamu na kunipunguza mawazo ni hili lihusiananlo na chupi ,jamani chupi ,unajua nilipita mtaa mmoja hapa Dar ,mnaijua mitaa ya Dar ni ya utandawazi ,mlango wa choo gunia au tambara ,ukija upepo itakubidi ucheze sarakasi chooni ,sawa niliona nguo zimeanikwa katika hizo zilikuwepo chupi mwanzo nilifikiri ni nyuzi za viatu ,ila nikazifahamu kuwa ni underwear za kike ,sasa hivi dizaini hizi na ziko zingine nimeziona kwa wapenzi na michepuo kila moja inamshinda mwenzake ,sijui suali niliweke vipi ,ila kwa ufupi hivi hizi za aina hii ni chupi au pambo au ni kuwa mnapata medical advise ,huku upande wetu tunaambiwa tusivae chupi za kubana haswa ukiingia kwenye ndoa kwani za kubana zinauwa sperms haraka ,ila nyie wadada mumesibiwa na kitu gani hata ikawa mnavaa vituko hivi ? Maana kama ni mapambo huwa hayaonekani kama ile nguo ya mtindo wa bwebwe ? Tuelimisheni !

Are you serious now? Tumekosa Maada nini za kuongea? Jamani humu ndani kuna watu wazima wababa na wamama ambao ni kama wazazi wetu waliotuzaa , hebu tujaribu kuwapa heshima zao wanazostahili , kumbuka hizi nguo za ndani unazotaka tuzidiscuss hata mzazi wako kike anazitumia kila siku why uje kumuaibisha hapa mbele za kadamnasi? That's not good , Mimi ninavyoona ni hivyo kama nimekukwaza nisamehe. Hebu niwapishe na wengine tusikie watakayoyasema. Asante .
 
Utapasua kichwa, mbona hili dogo hujaona zile thread za size za dus..na papu...

Mengine unaangalia unakaa pembeni... ( samaha kwa kukusahihisha ni mada sio maada) asante!
 
Utapasua kichwa, mbona hili dogo hujaona zile thread za size za dus..na papu...

Mengine unaangalia unakaa pembeni... ( samaha kwa kukusahihisha ni mada sio maada) asante!

Bila samahani mdear .This is very disrespectful , really . Asante.
 
Are you serious now? Tumekosa Maada nini za kuongea? Jamani humu ndani kuna watu wazima wababa na wamama ambao ni kama wazazi wetu waliotuzaa , hebu tujaribu kuwapa heshima zao wanazostahili , kumbuka hizi nguo za ndani unazotaka tuzidiscuss hata mzazi wako kike anazitumia kila siku why uje kumuaibisha hapa mbele za kadamnasi? That's not good , Mimi ninavyoona ni hivyo kama nimekukwaza nisamehe. Hebu niwapishe na wengine tusikie watakayoyasema. Asante .

Of cause i am serious ,what the hell are you talking about ? kuaibisha kupo wapi ? kama ni mzazi wangu anajua nishakua mtu mzima ,ndio akaniambia nioe niondoke nikatafute kwangu,hivi huelewi kuwa kila mtu anabeba mzigo wake ,hata kama mzazi nae yumo humu ,anawajibika kushiriki kujibu ikiwa ana uelewa wa kinachoulizwa tena friendly kabisa ,mbona familia ziliokuwa friendly zinazungumza mambo makubwa mazito na kujadiliana kwa marefu na mapana ,ukiona familia iko ni wakali ,baba mkali mama mkali,kaka mkali,dada mkali ,kila mmoja anaukali kwa upande wake ,elimu ya saikolojia inatwambia si bure lazima ukali huo utakuwa unatolewa ili kuogopesha na utakuwa kuna mambo alie mkali anayaficha na pengine hataki kuulizwa ,wachunguze sana watu wakali ,kila wakati wamekasilika ,hawaoneshi fulaha hata chembe ,ujue hapo pana siri nzito ,kwa mfano mdogo na mwepesi ,ukichacha ,ukiwa huna hela aloo unakuwa mkali ile mbaya ,jambo kidogo umekasilika ,ila kwa walio karibu yako hutamtamkia yeyote yule ,ukiombwa hela unaweza kutoa sababu kuwa una shida nazo huwezi kutoa kumbe huna . ni kaelimu kadogo tu hako kasaikolojia.

Hivi pale inapochezwa ngoma ya kigodolo panakuwa hapana watoto pale,pamnakuwa hapana watu wazima pale panakuwa hapana wazazi ,okay kama hii hoja imekugusa we ipotezee tu ,!
 
Back
Top Bottom