Daladala: Kuna Jamaa Anaongea Yeye Tu

Daladala: Kuna Jamaa Anaongea Yeye Tu

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Mpaka Kero
Wote Abiria Wote Tunamuangalia
Sijui Kakumbwa Na Nini Huyu Mtu!
 
Mara Anasema Kasoma Tabora Boys Alifukuzwa Kwa Kuchora Ubaoni
Mara Yeye Ndiye Anayemfuga Popobawa
Mara Yeye Ni Namba Chafu Kumzidi Hata Raisi Wa Zimbabwe
Tunamuangalia Tu Hapa!!
 
Huwa inatokea sana watu wa namna hiyo kuanzia daladala, treni, basi n.k.

Kwa kweli wanakera sana
 
wanaboaga hao...afu uwe umekaa nae karibu na umechoka........
 
Back
Top Bottom