habari wana jamvi?
binafasi napenda kukutana na kutengeneza marafiki wapya mahala popote nafasi itakapojitokeza.
kwa sasa numejiunga chuo cha diplomasia hapa dsm, hivyo ningependa kufahamiana na wana MMU ambao ni wanafunzi katika chuo tajwa hapo juu.
kwa waliotayari tufahamiane, wani pm.