Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
.... #wcw ni moja kati ya hash tags zinazotumika kwa kasi sana hivi sasa katika mitandao mikubwa ya kijamii... sio mbaya kuileta na hapa jf especialy MMU maana ndo mahara pake haswaaa.
#wcw kama inavojieleza kwenye heading hutumika kuelezea hisia zako kwa mwanamke ambaye umetokea kumkubali ghafla, huyu anaweza kuwa mchepuko, mke wa mtu, work mate au mwanamke yoyote wa karibu yako ambaye amefanikiwa kuikonga roho yako.
kwa kuanzia jumatano ya leo kusema kweli... my #wcw ni loveissweet, huyu mdada popote alipo jaman, ajue tu mi huku sina hali, nipo mahututi kwa mambo yake... sitajari kama kaolewa, kazaa au ndo kwanza ameanza form one, you just rock my world.
vipi kwako nani ni your #wcw kwa leo.
NB: Mention at your own risk kuna wake na vimada wa watu humu.