Ebwanaa Eheee Mchalo kwa Mtamu

Ebwanaa Eheee Mchalo kwa Mtamu

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,380
Reaction score
99,190
Umofia Kwenu wana JF,
Najua Escrow ndio habari ya mujini lakini tusiwasahau nao kina PAP wengine.Huwa najiuliza TCRA wapo wapi? Watu wanaibiwa wao wapo tu,hivi inawezekana vipi utimize ndoto zako kwa kukopa sh 500 kwenye timiza? Hivi Jeuri ya Mchalo kupika nyama kila siku,kupiga pamba za maana,kumsomesha mtoto boarding na kumpa pockets money kwa ajili ya kula chanzo ni Tsh 500 ya Timiza? Hii si kutuibia sisi wateja?
 
Last edited by a moderator:
Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi,
mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow
 
Hiyo 500 ni kianzio tu, unaweza kukopa zaidi kulingana na akaunti yako
 
Hiyo 500 ni kianzio tu, unaweza kukopa zaidi kulingana na akaunti yako

Hapo ndio uongo ulipo,ukikopa 500 ukirudisha ndio unakopeshwa hela ya kula nyama kila siku? Nyama kilo sh 7000/=,Unakopeshwa hela ya school fees+pocket money?
 
Back
Top Bottom