Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Mwalimu wa shule asomayo Nunda aliwaambia wanafunzi waondoke mapema na kesho yake kila mmoja awe ameandika Insha ndefu awezavyoh !
Siku iliyofuata wanafunzi wengi wa darasa la analosoma Nunda walionekana wamebeba nyaraka nyinginyingi ambazo waliandika Insha ,Nunda alionekana hana kitu mkononi zaidi ya karatasi moja aliyoikunja na kuitia mfuko wa suruali wa nyuma ,kama mnakumbuka yale makaki.
Ilipofika wakati wa kukabidhi kila mmoja alienda mbele na kusoma insha yake mbele ya darasa na watu kupiga makofi kwa kila aliesoma.
Sasa ilipofika zamu ya Nunda yeye alikuwa wa mwisho ikawa amekaa tu hakunyanyuka ,mpaka mwalimu akamuita ;-
Nunda mbona sijaona Insha yako ,Nunda akanyanyuka na kuenda kwa mwalimu akachomoa karatasi yake iliyokuwa imekunjwa vizuri na kuchomekwa kwenye mfuko akaanza:-
Nilichaguliwa kwenda vitani ,kufika vitani nilipigwa risasi nikafah !:becky: no comments !Mwalimu domowazi ulimi pimaah !