Wanadai eti kila kitu kimegunduliwa na tena ni wazungu wamegundua. Sasa na sisi wa-Afrika em' tujitoe kimasomaso hapa na kurudisha/kutengeneza heshima walau kidogo, tunadharaulika sana! Ni hivi...
ndugu wanajamii tukumbushane enzi za sekondari wakati tukiita makombi,mchepuo kwa majna tofauti kama PCM> People Confuse My mind, CBG>Combination of Beautiful Girl. HKL}Hatusomi Kufaulu...
Unajua tumbili asijie akajidanganya kwamba eti kujiuzulu ndio adhabu kwa kosa alilofanya la kuilawiti tz. la hasha! kujiuzulu hakuondoi ulazima wa kumfikisha mahakamani na kumchukulia hatua...
kwa wale wenzangu na mimi, fanya chochote kati ya haya Ijumaa ya keshokutwa, ila usithubutu kuangalia "Tv zao"
Ijumaa Alasir mazoezi ya Yanga, yataendelea pale uwanja wa LOYOLA, Mabibo!
Ijumaa...
Ngoja nikae kiuandishi sasa..
Kuna tofauti sana Kati ya hawa wadada wawili..
1. Karucee speak English ya UK while Kasinde American..
2. Kasinde got some Crushes twice while Karucee not yet...
Darasa analosoma Nunda lilikwenda kwenye ziara ,ziara ya siku hiyo ilikuwa kutembelea kituo cha polisi ,walitembezwa kwenye kituo cha polisi chote na kuelezwa ni jinsi gani polisi hufanya kazi...
Umofia Kwenu wana JF,
Kampuni inayojihusisha na huduma ya Migahawa na hotel,Break Point Group imefungua mgahawa mpya pande za Kinondoni Mwembe Jini ambacho kitafunguliwa before x-mas,mbali na...
Mwalimu wakike ambae alikuwa na sura nzuri na umbo la kuvutia ambae alikuwa kadogokadogo tu hata hajaolewa, alimwacha Nunda hoi kiasi Nunda alikuwa hafanyi vizuri katika matokea ya majaribio na...
Siku moja kulikuwa na matumizi ya msamiati mwalimu wa Nunda ambae ni mwanamuke alihitaji wanafunzi watumie neno hakika katika sentensi,
wanafunzi wakanyoosha vidole ,nunda alikaribia kusimama...
Haya ndugu zangu , watanzania wenzangu, najua wengi wenu tayari mshafika huko vijijini kwenu tayari kuanza likizo, au kama bado mpo safarini na wengine ndio mnajiandaa kwa safari.
Lengo la thread...