Nikiwepa kazi ya kutunuku vyeti vya mchagiaji bora katika majukwa mbali mbali hapa jf mwaka 2014 nitawapa wafuatao;
JF Doctor, mkuu MziziMkavu, nitamtunuku cheti cha uchangiaji bora katika...
Hope this post will find all of you enjoying fresh new year!happy new year to you all!
Si kawaida yangu kuposti, ila mimi nimsoma coment za watu tu, nadhani nitaingia top ten!
Back to the topic...
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndogo, kitu cha ajabu dreva alimporomoshea jamaa matusi ya...
Lets enjoy some African Proverbs:
1. When a man is stung by a bee, he does not destroy all beehives (Kenya)
2. The man who marries a beautiful woman, and the farmer who grows corn by the...
Heb tujikumbushe kidogo wadau,nakumbuka polisi walikua wanapita nyumba kwa nyumba wanamuita mtoto mbele ya wazazi anakula risasi fasta....je ww unakumbuka nn!
Sent from my BlackBerry 9810 using...
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni...
Jamaa kajiandaa vya kutosha siku ya kufanyiwa usaili, maana kwa muda mrefu anatafuta kazi bila mafanikio.
Ile anaingia tu akaambiwa," wait please! ".
Akajibu," 75 kilogram sir ".
Ha ha ha, chezea...
Nilipenda kwenda kula kwa Mama Mkinga kitu cha "bundle" au "Gb" huu ni wali Maharage mtu mbili hamuumalizi.Mimi na Mate wangu tulipendelea kujivinjari hapa,sababu kuu Uchumi ulikua unakaba pia...
Watoto mara nyingi wanasema the wrong things at the wrong time and Nunda is the worst ,tuvumiliane ,okay ? Isije ikaonekana Mwiba ,unajua binadamu kila mmoja na mtazamo wake na ufahamu wake ,ikiwa...
Mikakati toka kwa Kitime.
Kwanza nawatakieni tena wote heri ya Mwaka mpya 2015, hata wale walioanza Mwaka kwa ‘kuwekwa kiporo', waliofukuzwa kazi na, waliogawana ule mkwanja, waliokosa ule...
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi.
Akaiendea...
Wana Jamii wengi mliosoma Zamani mtakuwa mnakumbuka Kitabu cha Shule ya Msingi enzi za Mwalimu, moja ya Hadithi nzuri ilikuwa ni SIKU YA GULIO KATERERO, naweza pata wapi hiki kitabu.
What is GOBE?
GOBE is when you give a beautiful
girl a lift nd she faints in your car, you
take her to the hospital nd when you get there, the doctor says she's pregnant nd
congratulates you...
Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji la hoja na mwanasiasa kijana kabisa katika siasa za kiswahili nchini ndugu mohamed Mtoi
Mtoi ni mmoja ya matunda imara ya chadema katika kukuza na kulea vijana...