JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekaa nimefikiria sana kwamba eti vitoto vidogo vimewalaza watu saa 12 nikajiuliza hivi huko Dar hakuna wanaume kweli mjini mzima unalazwa saa 12 na vitoto visivyozidi mia, tena mnarudi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii nyumba sijui ina wachawi wajameni yani nimesema nijiegeshe kidogo si nimeota nawapigia mbuzi gitaa takribani mbuzi 100 cha ajabu wakaanza nao kucheza kwaito eeehh mungu nisaidie mimi hawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. Muheshimu anayekununulia 2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini 3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofa 4.Mtoa ofa akikutuma popote usikatae 5. Mtoa ofa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani nataka niwatume Ulaya na Marekani mara muende mkawatafute hawa wachagga warudi Kilimanjaro tangu wameondoka hawataki kurudi kwao Kilimanjaro na Krismas ndiyo imekaribia waje kuhesabiwa...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Thank you my love for everything ur doing for me and for our love... Tumetimiza miaka miwili sasa. Tokea ulipokubali ombi langu. 2Years/ Anniversary... Yes we are going somewhere, soon...
6 Reactions
322 Replies
29K Views
Kulengana Na Utafiti Wa Dr Mwana Wa Visa Imebainika Kuna Faida Tatu Za Uvutaji Sigara. (1) MVUTAJI SIGARA HAWI MZEE: Inamaanisha Kila Anaevuta Sigara Hufa Akiwa Kijana Na Huwa Vigumu Kwake Kufika...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
nataka kuanzisha biashara ya miswaki ya mtumba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasiasa Tanzania wazua balaa, kwa kutumia neno cake 🎂 ya taifa. Matukio yaanza kujitokeza. Mwananchi mmoja kutoka mkowa mmoja jina (********) alikuja dar es salaam kuuza mazao yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msichana wa kula nae vyombo a.k.a gambe anahitajika, Mimi nipo dar.. Ni PM kama upo interested..
0 Reactions
25 Replies
3K Views
1. Habari zenu wana team. 2. Habari zenu ma single lady wote. 3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano Miaka mitano na hakuna hata dalili ya Ndoa. 4. Habari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu wanajamvi naomba kusaidiwa 1. Gari Rav4 na Escudo ipi imara 2. Ipi inahimili changamoto za barabara isiyo ya lami Na 3.,Nishauri kampuni gani ya nje (Japan) naweza kupata gari nzuri yenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
CCM Ikiangushwa na Upinzani itakuwa furaha kiasi gani? karibuni tuambiane.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hatimaye mwenyekiti wa yanga afanikiwa kuingia ofisi za FIFA kukata rufaa kuhusiana na suala la emmanuel okwi. manji alionekana akiwa amechoka mwenye mawazo na hasira alionekana akiwa anataka...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Pm namba yako uwe unatumiwa meseji za kuchekesha kwa whatsApp kila siku bureee
0 Reactions
3 Replies
10K Views
babu alimuandikia mjuu wake barua aliyekua jela " mjukuu wangu mwaka huu sitapanda viazi hapa shambani kwetu kwani sina nguvu ya kulima najua ungekuwapo ungenisaidia" mjuku akajibu "usifikirie...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
nikipindi kirefu sana sionekeni humu jamvini lakn yote hiyo ilisababishwa na mimi kumkashifu mkulu wa Kaya ndio sababu iliyonipeleka kifungoni. nilishidwa hata kuwapa salam za x-mas na mwaka...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna dogo mmoja mwanafunzi wa darasa la kwanza , sasa si unajua tena walimu wanapenda kufundisha kwa mifano halis ili watoto waelewe , Mwalimu. Ehee Musa mama kaweka mandazi matatu mezani akaupa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ongezeko la wanawake wanaondesha magari jiji la Dar limekuwa kubwa sana na wanawake hao wamekuwa wakivaa nguo fupi kwa makusudi kabisa. Hivyo mimi SUPU YA MAWE nina mpango wa kukagua mapaja ya...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…