Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatikkusoma walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia.Usiku ulipofika wakaweka hema lao zuri...
Kuna siku jamaa alimkomalia sana msichana wake mara niweke whatsaap kakomaa sanaa msichana akaona usumbufu akamwambia nitumie elfu 70 nikasuke jamaaa akazima simu.
Nimegundua.Ukipenda bata...
We Mchepuko tarajiwa wewe ulichonifanyia jana sitokaa nikusamehe labda unitunuku mambo yetu yale kudadadeki.
Yaani nitoke Nyumbani tena kwa kulizua tu kwa wife kimagumashi, nichome mafuta yangu...
Huyu mpenzi kaanza mbwembwe za ajabuajabu tu,yani siku hizi ni nguo za nje ya nchi tu, za hapa nchini hazitaki kabisa.Wanawake wengine bwana full mashauzi.
Cc kalagabaho
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe
kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee.
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi
zima la ng'ombe...
habari zenu JF!
Nmewahi kusafir nao hawa ndugu zetu...maeneo mengi..sifa nlizoziona ni wakarimu ila wanajiona/kujisifia mno!
Wawaonaje au wawajuaje?
Nimewakilisha
Kwakuwa kuuza mwili ni biashara haramu, je kunanjia mbadala ya kuwasiidia dada zetu wanojihusisha na hii biashara.
Msemo wao:
1. Ajila hakuna.
2. Hali ya maisha ni ngumu.
1.ngono ni bure lakini mapenzi biashara
2.mabinti huumia zaidi wakipoteza simu kuliko bikra
3.mtu akiwa mwaminifu anaonekana dhaifu na mshamba kama mimi.
4.mabafu yamegeuzwa studio za kupigia...
Kipindi unakua yaani enzi za balehe umeshawai kuwa na kamchezo haka kauchokozi. Wanaume akina Shy land SUPU YA MAWE Polisi jamii grafani11 Mandingo Jipu limetumbuka vipi haka kamchezo...
Ni kipindi kirefu sana sikuoni, nikituma Pm hata hujibu, nakutafuta kwenye simu,whatssap, facebook hata instagram naona sikupati.
Hebu uje bibie christine ibrahim nmekumis sana mumeo hata...
Miaka 3 iliopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.Nawashwa sana ukeni hospital wanasema ni fungus natumia dawa baada ya wiki tatizo linarudi pale pale nimekuwa mtu wa kujikuna muda wote uke...
Unaenda sehemu zako za starehe unakutana jamaa zako wawili watatu lakini mmoja anakwambia, ''Ndugu yangu, mwenzio leo nina hali mbaya, sasa badala ya kuninunulia hizo bia mbili, nisaidie hata...
Habarini mabestito wangu
Ni mengi tumejifunza na tumefundishwa kwa mwaka huu na mengi tumeyafanyakwa mwaka huu na mengine tumejikuta hatujafanya tokana na matatizo ya hapa na pale.
Marafiki...
Je ni lini siku yako ya kuzaliwa.Je unaiandaaje siku yako ya kuzaliwa.Je unaiazimishaje siku yako ya kuzaliwa
je ni starehe gani huwa inachukua nafasi kubwa kwenye siku yako ya kuzaliwa.
:Kulewa...
Wachaga hebu acheni kunichanganya... hivi akina MANKA MUSHI wapo wangapi ? Kwani ukiitwa manka baba yako ni lazima aitwe mushi ? Mpaka sasa hivi nawajua akina Manka Mushi kama sabini hivi !!!