Zawadi nzuri kwa mpenzi wako

Mr Yes

Senior Member
Jan 31, 2013
153
0
Amani ya bwana iwe nanyi wadau,

tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake zawadi nzuri sana itakayomfurahisha na kumuonyesha kuwa anapendwa na kujaliwa sana.

Kuna aina mbalimbali za zawadi,binafsi sio mtaalamu sana wa mambo ya zawadi hivyo wadau ningeomba tusaidiane yafuatayo:-

1.Kwa sisi wanaume ni zawadi gani ambayo unaweza kumpelekea mpenzi wako ambaye hamjaonana kwa mwaka mmoja na akaifurahia sana(hapa wakina DADA Mchango wenu unahusika sana.

2.Zawadi hani ni nzuri kwa mpenzi/mwenzi wako(wakike au wakiume) ambayo ni nzuri sana katika kipinfi hiki cha sikukuu?

3.Katika siku za kawaida tu(sio sikukuu) ni zawadi gani ambazo:-
a)wanawake huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

b)Wanaume huzipenda na hufurahia zaidi wakipewa na wenza wao?

Naamini kupitia michango yenu mimi binafsi nitajifunza na wengine pia watajifunza.

Karibuni sana
 

Mr Yes

Senior Member
Jan 31, 2013
153
0
ni kweli nimekosea,natumia simu simu so ile jukwaa la mapenzi na hili jukwaa la jokes vipo karibu so nikakosea kuclick
 

BUSTER

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
254
195
Kwenda huko sisi huku tunataka mavichekesho ya kidaku zawadi zawadi mpelekee manyoya ya nungu maria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom