Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Ulinikataa mbele ya rafiki zako. Ukanitangaza vibaya. Kusema kweli nilinyong'onyea sana. Inakuwaje sasa unaanza kuni PM na kunitumia sms za ajabu baada ya kuona niko na mtoto wa kizanaki.
Kusema kweli wewe haufai, hata jamaa uliyenaye kapotea njia. Japo kuwa Mungu kakuumba vizuri lakini kakupa rorho ya fisi wewe ni mrafi na mchoyo. Nakuambia leo wazi sikutaki kaa nahuyo boya uliyekuwa unaniringishia.
Sasa hivi niko na mtoto wa kizanaki ni mzuri hatari. Si unakumbuka tulipokutana pale jangwani beach? Mtoto mrembo niliyekuwa nimekaa naye ndiye mtoto wa kizanaki. Kusema kweli anakuzidi uzuri, kwanza mtoto ni mrefu maji ya kunde, anajua kuvaa, hajui kununa. Wewe mama kuanzia asubuhi vibomu mpaka jioni japo kuwa unakazi.
Sikutaki mimi nasema sikutaki. Waambie rafiki zako jamaa kagoma hataki. Na nimeshamwambia Flora kuwa nyie ndio wachawi wake.
Wewe du sikutaki achana na mimi. Ukipita kwenye uzi huu waambie jamaa kagoma.