pamoja na kuwa yupo kwenye ile ya wasaka tonge team lakini nampendaga sana huyu mh. najikuta napenda kumsikiliza anapohutubia. Natamani kufanya nae maongezi kama rafiki wa kawaida.
Hivi nani anamkata ?
toa unafiki wako hapaTeh Teh
anamkata kwani Halima mdee ni mtiHivi nani anamkata ?
Pamoja na kuwa yupo kwenye ile ya wasaka tonge team lakini nampendaga sana huyu mh. najikuta napenda kumsikiliza anapohutubia. Natamani kufanya nae maongezi kama rafiki wa kawaida.
anamkata kwani Halima mdee ni mti
Dah mimi kuanzia kitambo sana. Ila sijui kama anafagilia sana wanaume, if you catch my drift. Hivi ni kabila gani? Niliskia mpare wa makanya.
Ha ha ha..kiongozi kweli umemfuatilia mh. Mdee. Kazuri sana kale kadada..!
Ningependa siku moja niskie anavyo-scream anapopewa dozi.