Je, huu ni uungwana? La hasha huu si uungwana

Je, huu ni uungwana? La hasha huu si uungwana

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Unanibip nikikupigia unaniuliza wewe nani.Unanipigia simu usiku wa manane, nikiuliza ulikuwa unasemaje eti nilikuwa nakusalimia.

Mchepuko wako unamnunulia Iphone 5 mama yako anatembelea yeboyebo.Unatupita bila kusalimia ukimkosa unayemfuta unarudi kwetu eti fulani nimemkuta.

Nakutumia vocha alafu unanibp tena.Unahonga pesa zote baa watoto umewaachia mkate na juice cola, nakupigia simu alafu unasema kata kwanza kuna mtu ananipigia.

Ukiniona kwa mbali unaanza psiipsiipsiimara wewe wewe wewe Ukiniona kwa mbali mara we mkinga we mbena njoo
Unanimwagia tope barabarani na gari yako nikikuuliza unaanzisha zogo

Mbele ya mke wangu unaanza da aisee ila yule mtoto wa jana sio.Nikikusalimia unajibu asante asante Nakupigia simu unaniwekea loudspeaker nakupigia simu unapokea alafu unaanza kuongea na mtu mwingine huku uko hewani.

Endelea na wewe.
 
Unamtaka dem waangu unanipaka mbovu mimi peleka sela zako ww
 
nakudai pesa yangu unilipi kwa madai huna pesa halafu kila tukionana unazidi kunenepa tu
 
Back
Top Bottom