JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hebu pendekeza majina mawili ya wana jf kutoka jukwaa lolote lile ikiwa tutafanya uchaguzi hapo october maana kijiji hakiwezi kuishi bila malkia na mfalme unaweza kujipendekeza mwenyewe ila...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
We all know that a good romp in the sack can be a stress-relieving workout, but there are other health benefits as well. If you’re really hot and heavy, you can burn about 70-100 calories per...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ezi za huyu mtu wenye pesa walikuwa wanajuta. Nakumbuka alikuwa ana gari yake aina shoka jeki na kirungu tulikuwa yani ilikuwa nishidah. Pamoja na magoma moto walitisha
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za hapa wapendwa wana chit-chat. Ni ukweli kabisa kuwa niliwakumbuka ile mbaya ila majukumu ya moja na mbili ndo kikawa kikwazo. najua kabisa nanyi mlinikumbuka mean tulikumbukana,basi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
1.Ni ujinga unatongozwa whatsapp halafu unatuma screenshort kwenda kwenye chart group ili anayekutongoza ajadiliwe na watu 100.Kama humtaki mwambie tu hapana yaishehuo ni ushamba. 2.Ni ujinga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni muda sasa tangu nimeacha kwenda chimbo hilo,nililitumia sana wakati wa ujana,kila nikipata bidada lazima niende nae gesti hiyo.Nikawa nimezoeleka kwa wale wahudumu,so nikifika tu wanajua room...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
SIONGEI ENGLSH TENA: Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama na ndege, kwani:- PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia anasema NOW, NOW! NG'OMBE:Naye asiposhiba utamsikia MORE,MORE...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
We turn not older with years,but newer every day. HAPPY BIRTHDAY TO ME.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
chekii hii...! Huu ugentleman mwingine ni extraordinary: jamaa kamzimia dem kanisani, mara ukafika muda wa sadaka eti akamwambia "dont wory i'll pay 4 u" mapenzi mabaya guyz yaani jamaa kajisahau...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Maasai sita wakapanda dala kuelekea arusha.konda alipowaitisha pesa mmoja akatoa wale watano wakadaisha sisi apana enda arusha yero.tunasindikisa huyu ndugu yetu.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hebu sema uko wapi na unaikumbukaje shule yako. Nammiss sana mwl.Mpande na viboko vyake.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau baada ya kujikita ktk utafiti wa kina.... nimegundua mdudu aitwaye mende hawezi kbs kuishi kwenye geto la msela hata kama geto ni chafu. Tumefanya majaribio kwa kuwakamata na kuwaweka geto...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
I can't believe it happened! I printed 50 business cards with my Jamii forum title: "Senior Expert Member. Katika gawagawa yangu nikakutana na mrembo pale Nakumatt kwa mromboo, stori si stori mara...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mitandao bwana, Unakuta mwanaume ana friends 4000 facebook Lakini akiposti jambo la maana linalohusu jamii Hakuna hata anayenusa achilia mbali ku like Lakini apost mwanamke tena...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Walevi watatu walikodi tax, Dreva tax alivoona wamelewa sana akawasha halafu akazima gari akawaambia tumefika, wa kwanza alimwambia asante, Wapili akampa hela na wa tatu alimpiga kibao...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuwaalika wote katika sherehe yangu ya harusi itakayofanyika tarehe 30 mwezi huu. Naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
..BREAKING NEWS... Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa J.K ameapa kuingia vitani wakati wowote kutoka sasa kutokana na dharau kubwa inayofanywa na Uganda kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The secretary, la'aziz mboni ya jicho langu, nyongo mkalia ini, kondom mvaliwa niniliyu, pilipili mnogesha kachumbari, peteroli mwendesha gari, miwani mwangazia macho, najuta kwa yote...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…