Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,775
Wadau baada ya kujikita ktk utafiti wa kina.... nimegundua mdudu aitwaye mende hawezi kbs kuishi kwenye geto la msela hata kama geto ni chafu. Tumefanya majaribio kwa kuwakamata na kuwaweka geto ila matokeo yake wote wametoroka sasa nadhani watakuwa wameanza maisha mapya kwenye kabati la mama mwenyenyumba. Naamini utafihuu umekuongezea maarifa. Ahsanteni sana, nawasilisha.