Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
1.Ni ujinga unatongozwa whatsapp halafu unatuma screenshort kwenda kwenye chart group ili anayekutongoza ajadiliwe na watu 100.Kama humtaki mwambie tu hapana yaishehuo ni ushamba.
2.Ni ujinga demu anakutunuku kwa hiari yake halafu unaenda kumtangaza kwa watu kwamba umemkaza na kusambaza picha mlizopiga wote wakati wa mahabati ya chumbani,ushamba wa hatari.
3.Ni ushamba unaachwa na demu halafu unasambaza picha za utamu mlizokuwa mnatumiana kimahaba.Huo ni upuuzi
4.Ni ushamba unajilengesha halafu unakazwa na supastaa halafu unaenda kutangaza kwa kila mtu kwamba flani kanikaza madai yako upande chati kwamba supastaa kapita.Jinga Kabisa tena ukute umekazwa bure!kipu kwayati.
5.Ni ujinga kujisifia kwamba umempitia demu fulani kumbe walaaa hata busu hujawahi kupewa ili uongeze jina na wewe uonekane umo.Jinga kabisa kwani sifa.
6.Ni ujinga kujifanya wewe bingwa wa kuhonga mjini wakati mamako na babako huwapi hela za matumizi..Sifa Za kijinga,kama una hela sana wape wazazi wako kwanza.
7.Ni ujinga kujua kwamba we ni mzuri na kudhani kwamba tako lako ndio kila kitu,makalio bila akili ni kazi bure.Jinga Kabisa.Mwanamke aliyekamilika ni mwenye akili tu,makalio hata farasi anayo.
Ongezea ujinga mwingine unaoujua watu wanafanyaga huku mtaani ili wajue wao ni wajinga.
Forwarded as received