donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
..BREAKING NEWS...
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu Mheshimiwa J.K ameapa kuingia vitani wakati wowote kutoka sasa kutokana na dharau kubwa inayofanywa na Uganda kwa nchi yake na amesema katika hilo hakuna mtu wa kumshawishi vinginevyo.
Mheshimiwa J.K amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kwamba amevumilia vya kutosha manyanyaso ya waganda kwa watanzania na kwamba sahivi ameshatoa amri kwa mkuu wa majeshi kuviweka vikosi vyake tayari kuivamia uganda.
Hata hivyo Rais Julius Nyerere amesema kesho atazungumza na wananchi kupitia radio Tanzania Dar es Salaam kwani Idd Amin amemchosha na chokochoko zake za kuvamia Kagera
......Taarifa ya Ikulu tar.27.07.1978