Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Ni muda sasa tangu nimeacha kwenda chimbo hilo,nililitumia sana wakati wa ujana,kila nikipata bidada lazima niende nae gesti hiyo.Nikawa nimezoeleka kwa wale wahudumu,so nikifika tu wanajua room nayohitaji,jumamosi nikiwa katika mizunguko na waifu tukifanya shopping kwa ajili ya birthday ya firstbone wetu.
Mara uso kwa uso na mmoja ya wale wadada wahudumu wa gesti niliyokuwa naenda enzi za ujana"kaka kozo za siku,mbona ni miaka hatujakuona,au siku hizi umegoma kuja kutuungisha,bei zetu bado poa kabisa vyumba vyote tumeweka tiles na ac.Uje kutuungisha bana vipi,(huku akimnyooshea waifu kidole).Huyu nae unampeleka machinjioni nini?"
Nilitamani nimzabe yule dada kibao lakini nilijizuia,waifu kanuna ghafla na shopping ikaishia hapo.jamani tuwe tunaheshimiana hata kama unaijua background yangu,kozo wa jana siyo kozo wa leo.